Infografiki: Uturuki inavyokabili moto nyika
Uturuki yaongeza utayari wa kupambana na ongezeko la moto nyika, huku matukio 1,516 toka Juni 1.
Vikosi vya kuzima moto vilifanya kazi usiku na mchana, vikiongozwa na vikosi vya anga huku hali ya joto ikizidi kipindi hichi