26 Machi 2025
Kenya imethibitisha kuwa Margaret Nduta Macharia, Mkenya aliyehukumiwa kifo nchini Vietnam bado yuko hai.
Anazuiliwa katika gereza nchini Vietnam baada ya kukata rufaa.
Zilizopendekezwa
Pia Katibu Mkuu wa mambo ya nje wa Kenya amewaomba Wakenya kutojihusisha na mambo ya ulanguzi wa dawa au binadamu akitaja kuwa miongoni mwa hatia kubwa duniani.
CHANZO:TRT Afrika