ULIMWENGU
1 DK KUSOMA
Idadi ya vifo nchini Lebanon yafikia 2,255 Israeli ikishambulia vijiji
Mashambulizi ya Tel Aviv dhidi ya Gaza yameua Wapalestina wapatao 42,175. Wakati huo huo, mashambulizi ya Israeli katika eneo la Lebanon yameua zaidi ya watu 2,169 na kuwakosesha makazi watu milioni 1.2 tangu Oktoba 2023.
Idadi ya vifo nchini Lebanon yafikia 2,255 Israeli ikishambulia vijiji
Uharibifu mkubwa uliosababishwa na shambulio la anga la Israeli katika eneo la Nowayri mjini Beirut nchini Lebanon./Picha: AA   / Others
12 Oktoba 2024
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us